0

Rnb staa August Alsina amekamilisha album yake mpya na tayari imepewa jina “This Thing Called Life“. Alsina anasema amemsikilizisha DJ Khaled album hio na amepata mtazamo chanya kutoka kwake. Dj Khaled amefananisha album mpya ya Alsina na album za Dr. Dre Chronic na Nas Illmatic .

August kashatoa nyimbo mbili kutoka kwenye cd hii ambazo ni “Hip-Hop” na “Why I Do It” Ft Lil Wayne.

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top