Bushoke azungumzia project yake inayofata baada ya uchaguzi

Ruta Maxmillian Bushoke ni miongoni mwa wasanii waliokuwa busy na show za kampeni zilizodumu kwa miezi miwili.

BreakingNews,Dr. John Pombe Magufuli ametangazwa rasmi kuwa mshindi kiti cha Urais Tanzania.

Mgombea urais wa chama cha CCM Mh. John Pombe Magufuli ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa

Christian Bella na Alikiba wamaliza kushoot video ya ‘Nagharamia’ South

Christian Bella na Alikiba waliopo nchini Afrika Kusini, wamekamilisha ku-shoot video ya wimbo wao ‘Nagharamia.’

Video ya collabo ya Diamond na Ne-Yo kufanyika Marekani na Afrika

Diamond Platnumz ambaye amefanya collabo na msanii mkubwa wa R&B wa Marekani, Ne-Yo ameelezea hatua ilipofikia project hiyo inayotarajiwa kumfungulia njia ya mafanikio zaidi kimataifa.

Kionjo cha video mpya ya Harmonize ‘Aiyola’


Msanii mpya wa label ya WCB inayomilikiwa na superstar Diamond Platnumz, Harmonize amewaonjesha mashabiki sekunde 11 za video yake ya kwanza

Tuesday, 27 October 2015

Chris Brown ana kipaji sawa na Michael Jackson na Tupac wakiunganishwa pamoja

Nick Cannon anaamini kuwa Chris Brown ana kipaji ambacho ni sawa na ukiwaunganisha Michael Jackson na Tupac.

Davido kuachia album yake mpya ‘Baddest’ mwakani badala ya mwaka huu

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Davido amebadili mawazo ya kuachia album yake mpya dakika za mwisho.

Sunday, 25 October 2015

Diamond ashinda tuzo ya ‘Worldwide Act Africa/India’ kwenye MTV EMA

Diamond Platnumz ameiletea sifa na heshima kubwa Tanzania kwa mara nyingine, kwa kushinda tuzo kubwa ya ‘Best Worldwide Act Africa/India’ kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 zilizotolewa Milan, Italy usiku wa Jumapili Oct.25.