0

Rapper Mabeste amesema kuwa sasa amerejea kwenye Industry ya Music baada ya kukaa kimya kwa Muda kutokana na matatizo ya kifamilia (kuuguza mke wake Lisa).Amesema hayo wakati wa mahojiano na Ergon Elly Mtangazaji wa kipidi cha burudani 97 Show cha Kitulo Fm Njombe akiizungumzia video ya wimbo wake USIWE BUBU ambayo jana Ijumaa Imeachiwa rasmi kwenye vituo vya Runinga Tanzania.


Mabeste anatarajia kuachia kila baada ya wiki wimbo mpya na baadae kidogo atatoa kanda mseto (Mixtape) “MABESTE” yenye jumla ya nyimbo 09 na baadhi ya Studio zilikofanyika nyimbo ambazo zitakamilisha mixtape hiyo ni Am Records,B Hitz,Goodboy Records na Studio

Post a Comment

 
Top