0

Msanii wa Hip Hop Kutoka Mkoani Iringa Dj Nas a.k.a Iringa Boy ameachia Video ya Wimbo wake Mpya "Wakunyumba" aliyowashirikisha Chibow na Mr T ambaye ndiye producer wa hit single hiyo.

Katika mahojiano na Ergon Elly wa 97 Show ya Kitulo Fm Njombe Dj Nas amezungumzia sababu ya kazi zake kuzipa majina ya makabila ya mikoa ya kusini na mpango wake wa baadae juu ya muziki wake anaoufanya.

 
Sikiliza full interview hapa




 
Pia unaweza kuitazama video yake mpya hapa

Post a Comment

 
Top