0
Msanii mkongwe kwenye muziki wa Tanzania "Bongo Flavour" Matonya leo ameachia rasmi kazi yake mpya inaitwa "Jela"  

Akiongea kwenye mahojiano na Mtangazaji Ergon Elly wa 97 Show ya Kitulo Fm - Njombe Tanzania  Matonya amesema hata safiri kwenda nje ya Tanzania kufanya Video ya wimbo huo kwani hapa nchini kuna mazingira mazuri ambayo yanafaa kuonekana kwenye video.

Jela imefanyika katika studio za Burn Records chini ya Producer Shedy Clever, Pia unaweza sikiliza full Interview hapa.

Post a Comment

 
Top