
Kupitia 97 Show @97show Ya Kitulo Fm, Banana zorro Amesema Kuwa Mwanzoni Mwa Mwaka 2016 Album Hiyo Ambayo Hakuitaja Jina Itakuwa Tayari Kuingia Sokoni Na Itakuwa Katika Mfumo Wa Audio CD Na Video CD . Album Hiyo lmetayarishwa Na Produxers Watatu Ambao Ni Tsuki, Alan Mapigo Na Lamar.
Tayari Album Hiyo Imefikia Maandalizi Hatua Ya Mwisho Kwani Tayari Ameshoot Video za Ngoma Zote.
Post a Comment