


Koba amesema kuwa video hii Ni ya tofauti na video zake zote alizowai kutoa kipindi cha nyuma na imemgharimu pesa nyingi hili kukamilisha video na kuwa nzuri na yenye ubora mzuri zaidi.


Naamini Mashabiki wangu wataipokea vizuri na mtaenjoi kwa kuwa naitaji mashabiki wangu mpate kitu roho inataka.
MC Koba aliendelea na kusema kuwa audio yake ilishatoka na nyimbo inaitwa ZAWADI na video ytake itatok mud wowote kabla ya sikukuu ya christmass.




Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.