
Miezi kadhaa iliyopita King wa Bongo Flava Ali Kiba alitangaza rasmi ujio wa ngoma yake na mwanamuziki mkongwe, maarufu na wa zamani kutoka Afrika ya Kusini Yvonne Chakachaka. Hii ilikuwa ni hatua muhimu sana ya kimuziki kwa nguli huyo wa muziki kut…