0
P Square ni moja ya makundi ambayo yanafanya vizuri kwenye muziki Afrika,story kutoka kwa Paul Okoye na Anita ambao ni wapenzi.

Mwaka jana 2014 Paul na Anita walifunga ndoa ya kiutamaduni lakini jana January 22 walifunga ndoa rasmi ya kiserikali.

Furaha ya Paul haikuishia hapo, tumeona mastaa wakijinunulia magari ya kifahari kama Davido na Range Rover zake, Paul kajinunulia pikipiki pya aina ya BMW.

Ilikuwa simple tu, nimekusogezea pichaz za shughuli yao hapa.


Paul na Anita Okoye baada ya ndoa.




Peter, Paul na Anita Okoye.




Post a Comment

 
Top