
Lady Jaydee kupitia Instagram ametuonesha noti za msimbazi ambazo alitunzwa jukwaani na mashabiki waliohudhuria show yake ya jana pale MOG.

Kwenye picha hiyo ameandika:
“Asanteni wote mlionitunza jukwaani Nilitoka kwetu na alfu 6 Nikarudi mkoba umejaa
Kazi ya muziki nzuri jamani Ila Haka ka mkoba jana @niitesonga alikuwa anataka kuka kwapua Mi mwenyewe nna madeni kibao Nawaza nianze lipi kulilipa
Post a Comment