0
Moja ya mastaa ambao waliwahi kufanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, Marlaw amekuwa kimya kwa muda mrefu.

Leo nimejua kwamba muigizaji Lulu ni mmoja ya mashabiki wa Marlaw, ameonyesha namna ambavyo anamiss muziki mzuri wa Marlaw.

Kupitia ukurasa wake Instagram, Lulu ameandika hivi; “Kwani tulikukosea nn kaka!???mbna ukatuonjesha na kutuondolea burudani tena!???i believe ur talented tena sio kidogo,sio kwa kwa kubana pua,sio kwa kusingiziwa pengine majukumu Ya ki kazi Au Ya kifamilia yamebana Lakini naamini u have something to offer the whl world….Rudi msaidiane kuendelea kupeleka mziki unapotakiwa kufika jmn…!“–@officiallulumichael

Post a Comment

 
Top