0
Esterlina Sanga ‘Linah’.
Mwasiti Almasi.
Rachael Mapenzi.
Amini Mwinyimkuu.
Elias Barnabas a.k.a Barnaba.
WASANII kibao waliovumbuliwa katika Jumba la Kukuza na Kuibua Vipaji (THT) leo wanatarajiwa kufanya shoo ya kufa mtu katika kuadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwa THT ndani ya Ukumbi wa Escape One.
Miongoni mwa mastaa ambao ni zao la THT ni Mwasiti, Amini, Ditto, Mataluma, Linah, Msami, Recho, Barnaba, Kadjanito na wengine kibao ambapo shoo inatarajiwa kuanza jioni hii.
farajimfinanga.com inatoa pongezi kwa THT kutimiza miaka 10.

Post a Comment

 
Top