0
Baada ya staa wa Nigeria, Flavour kutoa video ya wimbo wake ‘Ololufe’ aliyomshirikisha muimbaji wa kike wa Naija Chidinma, video hiyo ilipokelewa kwa mitazamo tofauti huku wengi wakidhani wawili hao ni wapenzi.
Kilichopelekea mashabiki wengi kuamini hivyo ni kutokana na Flavour na Chidinma ku-kiss kwenye video hiyo ya wimbo wa mapenzi, sababu wao wenyewe ndio waliigiza kama wapenzi. 
Chidinma amekanusha kwa kusema kilichoonekana kwenye video hiyo ni uigizaji tu lakini yeye na Flavour sio wapenzi. 
Msikilize hapa

Post a Comment

 
Top