Buari ameelezwa kusikitishwa na ripoti kuwa Nadia alihojiwa na kudai kuwa rais huyo ndiye baba wa watoto wake mapacha waliozaliwa mwezi uliopita. Kuzaliwa kwa watoto hao ambao wote ni wasichana kulizua mjadala mkubwa kwenye vyombo vya habari vilivyotaka kumjua baba wa watoto hao.
Kulikuwa na ripoti kuwa muigizaji Jim Iyke aliyewahi kuwa mpenzi wa Nadia kuwa si baba wa watoto hao na hivyo baadhi ya ripoti zikadai kuwa rais wa nchi anaweza kuwa baba wa watoto hao.
Post a Comment