BIBI AFURAHIA KUFIKISHA MIAKA 100 KWA KURUKA NA PARACHUTI
Mama mmoja nchini Afrika Kusini aamua kusherekea kutimiza miaka 100 kwa kuruka na parachuti angani kutoka kwenye ndege. Je wewe ukijaaliwa kufikisha miaka 100 ungetaka ufanye nini kusherekea siku hiyo?CHANZO BBC Dira TV:
Post a Comment