0
Taylor Swift anarejea tena kwenye biashara ya kustream muziki wake baada ya mwaka jana kujitoa Spotify.
Tidal ulikuwa mtandao wa kustream muziki wa Norway ambao ulikuwa haujulikani hadi pale Jay Z alipoununua pamoja na kampuni yake mama, Aspiro mwezi January.

Mtandao huo utatoa huduma ya kustream zaidi ya nyimbo milioni 25 zenye ubora wa hali ya juu kwa gharama ya dola 20 kwa mwezi.

Nyimbo za Swift zitapatikana kwenye mtandao huo japokuwa zipo pia kwenye Beats Music na Rhapsody.

Post a Comment

 
Top