Vee Money ambaye video ya wimbo wake ‘Hawajui’ imekamata nafasi ya kwanza kwenye Top Ten East ya SoundCity Tv ya Nigeria, anatarajia kutumbuiza kwenye tamasha la ‘Gidi Culture Festival’ litakalofanyika April 4, 2015 jijini Lagos, Nigeria.
Twitter alipost:
Kupitia Instagram ameandika:
“Nimepata nafasi ya kutumbuiza Lagos, Nigeria na kuwakilisha #Tanzania #GoodEngineering #Money15″
Miongoni mwa wasanii wengine watakaotumbuiza kwenye tamasha hilo ni M.I, Burna Boy, Awilo, Iyanya Waje, Victoria KImani na.
Hii si mara ya kwanza kwa Vanessa kupata shavu la show Nigeria, December 2013 aliwahi kupanda jukwaa la show kubwa Nigeria iitwayo ‘Rhythm Unplugged’ ambayo hufanyika kila mwaka na kukutanisha wasanii wa A-List wa Naija kwenye jukwaa moja.
Post a Comment