0
Ben Pol amesaini mkataba mpya wa usimamizi na kampuni ya Panamusiq Ltd.

Mkataba huo wa muda mrefu utashuhudia kampuni hiyo ikisimamia kazi zote za Ben Pol pamoja na kumpeleka afahamike kimataifa.

“The new partnership aims at developing Ben Pol into a sustainable global brand and consolidating his fame in Tanzania and across Africa. We expect to realize this plan through the production of great music, highly professional services and the co-operations with global brands and international music industry players,” yamesema maelezo ya kampuni hiyo.

Kampuni ya Panamusiq ilianzishwa katikati ya mwaka jana na tayari imeshafanya kazi na Vanessa Mdee.

Post a Comment

 
Top