Chris alishare picha aliyopiga na binti yake mwenye miezi kumi wakiwa wamevaa nguo za kufanana, kwenye akaunti yake ya Instagram ameandika “God has blessed me with my twin. #ROYALTY”
Chris Brown ashare picha akiwa na mwanaye ‘Royalty’ kwa mara ya kwanza
Muimbaji wa R&B Chris Brown ameuthibitishia ulimwengu kuwa mwanaye wa kike aliyemfahamu hivi karibuni ‘Royalty’ ni furaha mpya kwenye maisha yake kwa kuamua kupost kwa mara ya kwanza picha wakiwa pamoja.

Post a Comment