0

Hizi ndio top ten za redio bomba fm mbeya kila juma mosi kuanzia saa tano kamili asubuhi mpaka saa sita za mchana.

Kupendekeza ngoma/track kuingia kwa top ten tuma sms andika TPN acha nafasi kisha tuma pendekezo lako kwa number 15678.

CHAT KALI ZA BOMBA TOP 10 ya BOMBA FM RADIO 104.0MHz MBEYA.
10. P Square - Chekini
9. AT - Sijazoea
8. Izzo B ft Shaa - Kidawa
7. Victoria Kimani - Show
6. Fraga - Dunia Nzima
5. Ally Kiba - Chekecha Cheketua
4. Ruby - Na Yule
3. Ray C - Mshum_Mshum
2. Nick Wa Pili ft Joh Makini, G Nako, Nahreel, Aika Jux na Vanessa Mdee - Safari
1. Diamond - Nitampata Wapi

 

Top ten inaendeshwa na mtangazaji wako CHRIS SARUFU a.k.a chris bee

Post a Comment

 
Top