Mayweather atapanda ulingoni siku hiyo kuzipiga na Manny Pacquiao. Kwa mujibu wa The Sun, Bieber ataongoza msafara wa Mayweather wakati utakapopanda kwenye ulingo wa MGM Grand.
Chanzo kimoja kimeliambia gazeti hio: As long as his daughter wants Justin there he’ll be his main man. They get on really well.”
Mayweather anashikilia mikanda mingi ikiwemo ya WBC, WBA.
Post a Comment