0
Mwanamitindo, mbunifu na Miss Tanzania namba mbili mwaka 2006, Jokate Mwegelo aka ‘Kidoti’ amesema kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi.
Akizungumza na The playlist ya Times Fm hivi karibuni, Kidoti alisema hayo akihusisha ukweli huo na kile alichokiimba kwenye wimbo wake uitwao ‘Leo leo’ aliyomshirikisha Ice Prince wa Nigeria.

“Yah nyimbo inahusiana coz kuna mtu namtamani sana yani, ila akizingua tu nambwaga bado namuangalia” alisema Jojo

Hata hivyo Jokate hakuwa tayari kumtaja mtu huyo anayemtamani.

Post a Comment

 
Top