0
Mtayarishaji wa muziki na mshindi wa tuzo za Kili, Man Water amesema amejipanga kuanza kurekodi live.
Akiongea na ENews ya EATV, Walter alisema: Unajua nilikuwa najaribu kuboresha studio ya kisasa hasa katika kurekodi live maana nilikuwa natamani kuwapata watu wa bendi nadhani sasa wakati wao umekaribia. Nimeshaongeza studio itakuwa pana zaidi ili kuweza kufanya kazi za live hiyo ndo habari nzuri inayotokea katika studio za Combination Sound.”

Post a Comment

 
Top