Ripoti hiyo imezitaja album zilizouza zaidi mwaka jana kuwa ni soundtrack ya filamu ya ‘Frozen’ iliyouza kopi milioni 10 wakati single ya Pharrell Williams, ‘Happy’ ikiuza kopi milioni 13.9. Ripoti hiyo imesema uuzaji wa muziki kwa njia ya mtandao kwa sasa unachukua asilimia 46 kwenye soko la muziki.
Post a Comment