
Kupitia Instagram Nay amesema kwamba kuanzia sasa watu watarajie kumsikia zaidi kwenye collabo za wasanii wa kike kuliko wa kiume, yaani kama akifanya na wasanii 10 wa kike atafanya na mmoja wa kiume.
Alipost picha ya kupromote wimbo mpya wa Dayna na kuandika:
“#Dyna_Nyange ft #Mr_Nay #Nitulize #Coming_Soon
Ni moja Kati ya ngoma ambayo nina imani itafanya vizuri sana… Nw nimeamua kufanya collabo na wasanii wa kike tuh kwa asilimia 90%.. wanaume 1 wanawake 10.. “
Post a Comment