0
Msanii wa muziki aliye chini ya kampuni inayomilikiwa na Wema Sepetu, Endless Fame Films, Mirror ameweka wazi kuwa bado yupo njiani kuyafikia malengo aliyojiwekea.
Licha ya mashabiki kuhitaji kazi nzuri lakini timing ni kitu kikubwa sana kwenye muziki.

“Sehemu nayotaka nifike kwenye muziki bado sijafika, licha ya kuwa nafanya muziki nzuri, video kali lakini naona bado, unajua kuna vitu kama timing, naona kama bado niko njiani kuna kitu bado nakitafuta, ndo maana licha ya kazi nzuri nazofanya kuna kitu kingine kama timing, pia hivi karibuni nitaachia kazi mpya kwahiyo mashabiki wakae mkao wa kula,” alisema Mirror.

Post a Comment

 
Top