Stereo ameiambia Enewz ya EATV kuwa Chidi Benz ni moja ya mamcee aliokuwa na ndoto za kufanya nao kazi kwa muda mrefu. “Niliposikia wimbo wa ‘Beef’ nikaona ni ngoma kali, nikamwambia bro inabidi tufanye kitu.”
Stereo amesisitiza pia kuwa mpango wa kufanya video ya kazi hiyo upo japo kwa sasa wamejikita katika kuisambaza redioni rekodi yenyewe kwanza.
Post a Comment