0
Uchaguzi wa Marekani Kufanyika 2016 na Tayari Hillary Clinton ameshatangaza nia ya kugombea urais ,lakini huenda akakutana na upinzani kutoka kwa Mmarekani mweusi mwingine kama ilivyokuwa kwa Barack Obama mwaka 2008!
November mwaka 2012, Waka Flocka Flame alitweet: I’m dead ass running for president in 2016.” Na sasa amethibitisha kuwa hakuwa anatania.



Jumatatu hii, rapper huyo amezungumza na Rolling Stone kuelezea nia yake ya kuwa mgombea wa urais wa Marekani mwakani. Mgombea wake mwenza amemtaja kuwa ni DJ Whoo Kid.

Post a Comment

 
Top