Chart hiyo ya nyimbo 10 inajulikana kwa jina la ‘Official African Chart’. Wanjera imekamata nafasi ya 09 wiki hii. Video hiyo ilifanyika nchini Afrika Kusini na kuongozwa na Godfather. Wema Sepetu na Idris Sultan wanaonekana kwenye video hiyo.
Chart hiyo ya nyimbo 10 inajulikana kwa jina la ‘Official African Chart’. Wanjera imekamata nafasi ya 09 wiki hii. Video hiyo ilifanyika nchini Afrika Kusini na kuongozwa na Godfather.
Post a Comment