Pacquiao kama ilivyokuwa ikitarajiwa alirusha ngumi nyingi zaidi kuliko mpinzani wake lakini Mayweather aliweza kurusha ngumu zenye faida zaidi zilizowafanya majaji wanne wampe ushindi. Mayweather ameshinda kwa point 118-110, 116-112, 116-112. Kwa ushindi huo, Mayweather ameendelea kushikiliza rekodi yake ya kutowahi kushindwa katika mapambano yake 48 aliyowahi kupigana.
Post a Comment