New Video: G-Nako – Sichezi Mbali official video
Baada ya Joh Makini kutambulisha kichupa na single yake mpya ‘Nusu Nusu’ wiki chache zilizopita, mkali mwingine kutoka Weusi, G-Nako a.k.a G-Warawara amedondosha video na ngoma mpya inayoitwa ‘Sichezi Mbali’. Audio imefanyika Noizmaker na video imefanywa na Cyne Studios.
Post a Comment