MAMA 2015 itahusisha vipengele 17. Majina ya wasanii watakaoshiriki kwenye tuzo hizo yatatajwa June 11.
Uzinduzi wa tuzo hizo umefanyika leo kwenye hoteli ya Southern SunElangeni & Maharani Hotel jijini Durban na kushuhudiwa na wasanii mbalimbali wakiwemo AKA, Bucie, Big Nuz, Cassper Nyovest, Dream Team, DJ Tira na Patoranking.
Soma zaidi hapa.
Post a Comment