Msanii mkongwe kutokea nchini UGANDA muda mfupi uliopita kupitia account yake ya Instagram ameshare na sisi picha ambayo inahashiria ujio wa wimbo wake mwingine mpya alioupa jina la BWERERE. Mimi na wewe hatujui alichokiimba humo ndani wala anamaanisha nini hii BWERERE kwahiyo tusubiri tuone na wimbo utakapotoka nitakutafutia na kukuwekea hapa ili wadau wangu tufaidi Ubwerere huo
Post a Comment