0
Mtoto wa Bobby Brown na marehemu Whitney Houston, Bobbi Kristina Brown amefariki dunia Jumapili July 26, ikiwa ni miezi sita imepita toka akutwe amedondoka bafuni hajitambui.
Bobbi Kristina amefariki akiwa na miaka 22.

“She is finally at peace in the arms of God,” ilisema familia katika taarifa kwa vyombo vya habari. Pia wameshukuru kila mmoja aliyeonesha mapenzi na sapoti katika kipindi chote toka alipopata matatizo.

Post a Comment

 
Top