0




 

Msanii wa mziki wa kizazi kipya garatone amekamilisha collabo yake na mkongwe wa mziki tanzania ally kiba mara baada ya
kusubilia kwa muda mrefu nafasi iyo garatone amesema kuwa ndoto zake zinaendelea kutimia siku hadi siku na kwa nafasi amewahaidi mashabiki wake kuwa wasubilie tu ngoma kali toka kwake na hato waangusha.

Garaton amesema pia kuna collabo nyingi anakuja nazo za wasanii wakubwa wa tz na nje ya tz ambazo zimetengezwa chini ya producer mkali ndani ya tz abby dady katika studio za chaiders rec na akiwa chini ya manager kapaster4real.


Post a Comment

 
Top