Rapa Aka atangaza collabo nyingine kubwa yaja so muda mrefu 02:54 team kazi entertainment 0 STORY A+ A- Print Email Baada ya hit kubwa ya ‘All Eyes On Me’ kumpa tuzo ya collabo bora zaidi kwenye tuzo za MAMA, rapa AKA amethibitisha ujio wa collabo nyingine kali. Kwa mujibu wa uongozi wake ‘Vth Season’ Aka amefanya wimbo na Burna Boy, Yanga Chief na Khuli Chana.
Post a Comment