0
Hatimaye Vanessa Mdee ametoa tarehe ya kutoka kwa album yake inayosubiriwa kwa hamu kubwa, Money Mondays.
Amesema kuwa album hiyo itatoka March 2017.

“It’s a good time for me, it’s my first album and I am excited, ninamwachia Mungu inshallah kila kitu kitaenda sawa,” Vee aliiambia Lake FM ya Mwanza.

Album hiyo itakuwa na collabo kibao za kimataifa na pia kushirikisha watayarishaji mbalimbali barani. Wiki hii Vee ameachia wimbo wake mpya, Cash Madame unaofanya vizuri tayari.

Post a Comment

 
Top