
Jina Lake Kamili Anaitwa Petronia Yahaya Mfaume ni Mwanafunzi wa Chuo cha
Uhasibu(TANZANIA INSTITUTE OF ACCAUNT) Compus ya Mbeya Mwenye Umri wa Miaka Ishirini(20) ni Mtoto wa Pili Katika Familia ya Mzee Yahaya Mfaume Yenye Watoto Watatu(3) Akiwa Wakike Pekee kama Zawadi kwa Wazazi Wake na Kaka Yake Pia Mungu Amewajalia Kipaji Katika Familia yao Kaka yake pia ni Mwanamziki wa Kizazi Kipya.

Petronia Kati ya Model/Video Queen Ambao kwa Sasa Mbeya Anashika namba Moja Kuonekana Katika Video nyingi Zaidi Baadhi ya Video Alizocheza Subira ya Moyo>Ammy Chiba,Shika Moyo>Langa,Come Closer G4,Acha Kunidharau>Zax B ft Melina,Jicho la Tatu>Siple K,Tutambae>Bzq,Naringa Nae>Abby Stlye na Zingine Nyingi Ambazo bado Hazijatoka Rasmi.


Baadhi ya picha za Model/Video Queen Akiwa Katika Pozi Tofauti Ndani ya Jiji la Mbeya.






Na Huu Ndio Wimbo wa Kaka Yake Model/Video Queen Huyu Kaka yake Anaitwa Noris
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.