0

Mara nyingi tumeshuhudia ugomvi kati ya wapenzi, simu za mkononi ni moja ya sababu kubwa
ambayo imekuwa ikitajwa kama sababu ya ugomvi siku hizi.

Beyonce ni mke wa Jay Z, story kubwa zaidi mitandaoni kwa sasa ziko mbili, kwanza ni zile romours za ujauzito wa staa huyo, pili ni kuhusu Bey kunaswa na kamera akiangalia kile ambacho mumewe anakifanya kwenye simu yake!

Hapa nimekuwekea pichaz za matukio mbalimbali ya Beyonce akiangalia simu ya mumewe, lakini kumbe hata Jay pia aliwahi kunaswa akiangalia simu ya Beyonce.


Hii ilikuwa siku za nyuma, Jay yuko busy na simu yake, Bey kama anafuatilia kwa pembeni mume wake anachokifanya.


Hapa Beyonce alikuwa akiendelea na mambo yake kwenye simu, Jay nae alikuwa akifuatilia anachokifanya mkewe.


Hii ilikuwa jana, kwenye mechi ya Basketball kati ya Houston Rockets na Brooklyn Nets, Jay na simu yake Beyonce hakuwa mbali.

Post a Comment

 
Top