0


Chris Brown na Tyga wako kwenye mitaa ya L.A. wiki hii wakifanya video ya wimbo wao ‘Ayo’ . Single ipo kwenye album yao ya pili Fan of a Fan 2 na imeongozwa na Colin Tilley.

Tyga anaonekana tena na buti lake lenye chata ta lebel yake ya T-Raww. Tyga amekuwa akijituma kuitangaza T-Raww na lebel yake ya Last Kings Music ili aweze kutoa album yake kupitia lebel yake binafsi baada ya mvutano na Young Money kuchukua muda mrefu zaidi.

Post a Comment

 
Top