Jana tarehe 23 ndio ile video ya NITAKUPWELEPWETA inatoka rasmi ya wasanii hawa kutoka kundi la Mkubwa na Wanawe (Yamoto Band). Video imefanywa na kampuni ya Next Level chini ya Dir Adam Juma.
Utengenezaji wa video mpya ya YAMOTO BAND “NITAKUPWELEPWETA”
Jana tarehe 23 ndio ile video ya NITAKUPWELEPWETA inatoka rasmi ya wasanii hawa kutoka kundi la Mkubwa na Wanawe (Yamoto Band). Video imefanywa na kampuni ya Next Level chini ya Dir Adam Juma.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.