DIAMOND KUBEBA POCHI YA ZARI THE BOSS LADY
Baada ya Diamond Platinumz a.k.a Chibu kunaswa na camera akiwa amembebea mkoba mp3nzi wake Zarri The Boss Lady, wambea washaanza kuongea, kwamba jamaa hanajinsi maana kazidiwa ki mkwanja na mrembo huyo.
Wengine wakasema ni Mahaba tu... jiulize je wanaume wangapi tunaliweza jambo hilo.
Post a Comment