0
Mwanamuziki wa pop wa nchini Marekani, Lady Gaga (28) amechumbiwa na boyfriend wake wa muda mrefu ambaye ni muigizaji na model, Taylor Kinney (33) katika siku ya wapendanao ‘Valentine’s day’.
Staa huyo ameutangazia ulimwengu habari hiyo njema kupitia akaunti yake ya Instagram kwa kupost picha inayoonesha wameshikana mikono na pete ya uchumba aliyovishwa ikionekana.

Kwenye picha hiyo Gaga aliandika:
“He gave me his heart on Valentine’s Day, and I said YES!”

Post a Comment

 
Top