0
Picha aliyoposti RAY C instagram yazua utata kwa watu mbalimbali na hiki ndicho alichosema ray c juu ya picha aliyopost instagram .
Ray c pia amezungumzia kuhusu ujio wa video yake ya  wimbo wake mpya Mshum Mshum ambayo anatrajia kuachia iv karibunn naujio wa alburm yake yenye nyimbo takribani kumi(10).
Video hiyo anategemea kufanya na nisha au adam juma yupo katika maongezi na madirecto hao maharufu tz kwa kazi zao.
HII PICHA YA RAY C ALIYOPOSTI INSTAGRAM NA KUZUA UTATA

Post a Comment

 
Top