0
Msanii wa muziki wa bongo fleva H FOR SURE yupo mbioni kuachia video ya wimbo wake wa tamu kama nini baada ya ukimya wa muda mrefu kupita.
H FOR SURE amesema tayali yupo katika hatua za mwisho kabisa na soon ataachia video iyoo na amesema kuwa amefanya na direct hatari hapa tz na kwake ni suprise kwa mashabiki zake kwaiyo wasiwe na shaka wasbilie tu iyoo video.
Huu ndio wimbo wake ambao anategemea kuachia video ivi karibuni download hapa

Post a Comment

 
Top