Diamond ametajwa kuwania kipengele cha msanii bora wa Afrika (African Artiste of The Year).
Wasanii wengine watakaowania kipengele hicho ni pamoja na Tiwa Savage (Nigeria),AKA (South Africa), Don Jazzy & The Mavin Group, Patoranking (Nigeria) na Yemi Alade (Nigeria).
Mshindi kwenye kipengele hicho atapatikana kwa 40% za kura za wananchi, 30% ya kura za Academy na asilimia 30 ya kura za Board.
Post a Comment