Mrembo na Staa wa Bongo Movie Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amesema kuwa katika mahusiano yake ya kimapenzi alitokea sana kumzimikia Hasheem Thabit kuliko Wanaume wote aliowahi kutoka nao kimapenzi Bongo .Akizungumza na Gazeti la Kiu hivi karibuni, Kidoti amesema kwa sababu ambazo amezihifadhi moyoni mwake Hasheem alikuwa na vitu adimu sana ambavyo hawezi kuvitaja.
Kuhusu Diamond ambae pia amewahi kutoka nae, Kidoti amesema hakuenjoy nae kwani yalikuwa mapenzi ya muda mchache sana
Home
»
Bongo star
»
GOSSIP
»
STORY
» Jokate Afunguka “Hasheem Thabit Ana Vitu Amazing, Diamond Sikuenjoy Sana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment