Ni saa chache zimebaki kabla hujapata nafasi ya kuiona na kuisikiliza
kazi mpya ya Shetta ‘Shikorobo’ aliyomshirikisha rapper kutoka Nigeria
Kcee, itakayotoka kesho March 25. Tazama kionjo kifupi cha video hiyo
iliyoongozwa na Godfather na kufanyika nchini Afrika Kusini.
Home
»
Entertainment
»
teaser
»
VIDEO
» Tazama kionjo cha video mpya ya Shetta Feat. Kcee – Shikorobo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment