Filamu hiyo iitwayo ‘Day After Death’ (D.A.D) imeongozwa na Van Vicker kupitia kampuni ya Sky+Orange productions na Endless Fame Production ya Tanzania.
Wema Sepetu ambaye mwishoni mwa mwaka jana alisafiri kwenda nchini Ghana kutengeneza filamu hiyo, ameweka trailer ya filamu hiyo kupitia Instagram yake:
“#DAD movie The long wait is over. The much anticipated COLLABORATION (Ghana- Sky+Orange productions & Tanzania- Endless Fame Production) trailer of D.A.D (Day After Death) is out. Starring @wemasepetu & @iam_vanvicker #sky+orangeproductions #endlessfameproduction ##weRmovies&moviesRus #mylife #mysuccessstory”
Tazama trailer ya filamu hiyo:
Post a Comment