0

Watangazaji wawili jijini mbeya wavamiwa na watu wanaosemekana ni vibaka wa mtaa. Watangazaji hao wawili walikuwa katika sherehe ya uzinduzi wa video ya msanii dr fadhi ambae alikuwa anafanya uzinduzi huo katika eneo la nzovwe ukumi wa tumanyene all baada ya kumaliza shughuli hio wakiwa wanaingia katika gari ya ofisi walitokea vibaka na kuwavamia na kuwaibia baadhi ya mali zao kama simu tatu aina ya tecno f5 yenye thamani ya laki mbili,nokia mbili 1280 zenye thamani ya kila moja elfu hamsini kwa mbili laki moja,cheni mbili za shingoni zenye thamani ya elfu hamsini pamoja na pesa taslimu laki moja na elfu hamsini na tano.
Watangazaji  hao ni grey sarufu maharuku kama chri bee mtangazaji wa redio bomba fm 104.0 mbeya lakini pia ni msanii wa bongo flave na omary juma maharufu kama dj speed ni dj na mtangazaji wa sweet fm redio 90.7 mbeya lakini pia ni meneja wa baadhi ya wasanii jijini mbeya ambae pia ni msanii wa bongo flave hizi picha za watangazaji waliofanyiwa tukio na teaser ya video ya ninafuraha ambayo imezinduliwa juma pili hii.
DJ SPEED SWEET FM 90.7 MBEYA

 

Post a Comment

 
Top